tag:blogger.com,1999:blog-4181167990789330003.post7060511009055887454..comments2022-12-02T23:31:38.808-08:00Comments on Kamera Ya Mwanafunzi: Hivi Mwalimu Hakujua.....mwanafunzihttp://www.blogger.com/profile/08618603202331055771noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-4181167990789330003.post-47540186306545807052008-03-11T08:33:00.000-07:002008-03-11T08:33:00.000-07:00Kweli kaka yote usemayo niukweli mtupu.Nami pia na...Kweli kaka yote usemayo niukweli mtupu.Nami pia natamani sana kama mwalimu angelikuwapo sasa sijui ingekuaje.Yote tisa kilichobaki tupambane na viongozi wote ambao ni wasanini kuanzia Raisi wetu kwani kamaangekuwa sio msanii mafisadi,wauza madawa yakulevya wote wangekamatwa nakufilisiwa.Yeye kakazania kuunda tume kilasiku ya mungu,pesa itumikayo ni yetu wananchi kweli mungu yupo.<BR/>Sina mengi ni mimi niombaye kilasiku yamungu tupate viongozi bora na sio bora viongozi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4181167990789330003.post-36041976275503174262007-08-16T07:12:00.000-07:002007-08-16T07:12:00.000-07:00Kweli usemayo viongozi wamepindaKweli usemayo viongozi wamepindaAnonymousnoreply@blogger.com