Saturday, 28 July 2007

acha tuanze mapema kuchanganya mikemikali


mafunzo ya Vitendo kama haya ni muhimu kwa kuwafundisha wanafunzi mapema angalau mara mbili kwa mwezi wawe wanaingia laboratory.Ila kwa ilivyo sasa kuingia lab mpaka karibia na kufanya mitihani ya taifa hali ambayo inachangia wanafunzi kufeli. Tukifeli sisi ujue na taifa linafeli hivyo..tukifaulu na taifa pia linafaulu kwa kupata wataalamu

2 comments:

Mchangiaji said...

Pongezi sana kwa juhudi, zako..

Tunapata picha halisi ya Mtanzania, hususan kwa vijana wa Taifa la Kesho katika mkondo wa Elimu.

Good Job, Keep it up!

By Mchangiaji
mmchangiaji@yahoo.com

Anonymous said...

Good, uko kidato gani, i was in the same school,Azania, 12 years ago!
Keep it up!!!!!!