Monday 16 July 2007

Chini Ya Mti wa Elimu



Popote mazingira yeyote elimu ni muhimu sana, hata chini ya mti huu watoto wanapata dozi ya elimu. Ingekuwa bora kama tungepata darasa la kusomea lakini nasi tumo katika kupiga vita adui ujinga.

No comments: