Monday, 16 July 2007

Computer za MsaadaMisaada endelevu kama hii ni muhimu kwa nchi zinazoendelea, lakini tuwe macho tusijekuwa dampo la computer zilizokwisha pitwa na wakati. Teknolojia ya ICT ni muhimu sana hasa katika kupiga vita rushwa, ubadhirifu, na usumbufu katika utoaji huduma za jamii. hapa ni bagamoyo sekondari..

No comments: