Monday, 9 July 2007

Kamera Ya Mwanafunzi,,,,,,

Kamera ya Mwanafunzi..........
Kutoka Umande wa asubuhi mpaka joto la jioni kubanana kwenye matano-tano au matatu, ama madala-dala....Njoooni wanafunzi woooooooote tujumuike pamoja katika blogu hii ya wanaopiga kitabu kwa kukesha ili wapasue pepa....

1 comment:

Anonymous said...

hey!nimependa sana blog yako nzuri sana kama wanafunzi wenzio wanasoma watafaidika zaidi..
keep it up man.good job