Monday, 16 July 2007

Shule ya Mweka na Magogo ya Kuni

Hapa ukileta fimbo badala ya kuni itakuchapa yenyewe...Ila tuwe waangalifu kukata miti ovyo kwa ajili ya kuni ni uharibifu wa mazingira ambao utaathiri vizazi vyetu na vijavyo..Panda Mti kwanza halafu subiri ukue ndipo Ukate Tawi na sio mti mzima.

No comments: