Tuesday, 17 July 2007

Chini Ya Mti wa Elimu Kenya

Si bongo tu kwenye madarasa chini ya mti bali ni hali katika nchi nyingi za Afrika. Swali ni kwamba kwani elimu ni kusoma na Kuandika tu, mbona Ujenzi pia ni elimu. Ndege porini akitaka kuanzisha familia jambo la kwanza ni kujenga nyumba(tundu), halafu ndio wazae watoto. sisi tunashindwa kujenga hata mabanda ya miti kwa ajili ya kusomeshea...Tunahitaji Fikra mpya kuhusu definition ya Elimu, sio kusoma na kuandika pekee bali pia ijumuishe matumizi vitendo sio kusubiri misaada.

No comments: