Wednesday, 18 July 2007

Siku Ya Vitabu Toka Amerika


Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Msalato wakikagua vitabu vilivyoletwa kwa msaada toka Marekani kupitia mashirika ya kujitolea. Imefika wakati kwa serikali yetu kutilia mkazo upatikanaji wa vitabu katika mashule bila kungojea misaada toka nje ya nchi. Vitabu ndio majembe katika shamba la elimu.

No comments: