Wednesday, 18 July 2007

Toto Najua Hesabati hii


Mwalimu wa kujitolea (Volunteer) akifundisha hesabati kwa watoto wa darasa la kwanza. Kujitolea ni jambo linalopewa umuhimu mkubwa katika nchi zilizoendelea kiasi cha kuwekwa kama kigezo wakati wa usaili wa ajira. Waafrika nasi tujifunze kujitolea katika mambo mbalimbali kama vile mashuleni, mahospitalini na sehemu nyingi zenye kuhitaji misaada.

1 comment:

Anonymous said...

Ni KWELI USEMAYO