Thursday, 19 July 2007

duh school chafu wacha tusafishe


shughuli kama hizi zaweza kufanywa vizuri kabisa na kwa usalama wa wanafunzi iwapo kutakuwa na vifaa vya kusafishia. vifaa vinavyohitajika ni mafagio, mazoleo na gloves kwa ajili ya kujikinga na uchafu wenye vimelea vya magonjwa hasa ukizingatia maji-taka yanamwagika ovyo kila kona.

3 comments:

Anonymous said...

mambo si hayo weka vitu mwanangu
Azaboys kama Kawa Wanawakilisha ndani ya nyumba. ila msisahau kupiga rangi majengo yamechoka sana

Anonymous said...

Unasema kuhusu gloves za kizolea takataka wakati gloves za kwenye mahospitali hakuna...

Anonymous said...

yah!mimi mwenyewe nilipokua AZA nilikuwa nikizoa taka kama madogo wafanyavyo siunajua bongo tena lakin si neno kamueni vijana ipo siku mtazoa taka kwa mashine za umeme huku ugaibuni!!!