Monday, 23 July 2007

Mashine Ya Kuvuta Maji


Wanafunzi wa shule ya Kalengeija nchini Uganda wakitengeneza machine ya kuvutia vitu vyenye uzito kwa kutumia machine itumiayo maji(waterwheel). Elimu Vitendo ni bora kuliko elimu simulizi. Nchi itafaidika iwapo elimu vitendo itapewa umuhimu katika mashule ili kuamsha akili bunifu na vipaji vya aina mbalimbali.

No comments: