Monday, 23 July 2007

Mashine Yetu Inafanya Kazi Bila Umeme

Hawa wanafunzi wameweza kuunda mashine ifanyayo kazi kama inavyoonekana kwenye picha. Ubunifu ni muhimu sana katika kuendeleza vitendea kazi, sio kila siku ndoo na kamba kisimani, ama jembe la mkono shambani. wenzetu waliondelea walitilia mkazo utumiaji wa mashine ndio maana wakafika walipo sasa. nasi hatuna budi kuamsha mapinduzi ya sayansi ili tupate kuboresha maisha na kuondoa umasikini.

No comments: