Monday, 23 July 2007

Jembe La Mkono Halifiki Mbali


Jembe la mkono toka enzi za mababu zetu, halijabadilika ni mpini na chuma. kwa kibustani sawa lakini kwa shamba la kulisha jumuia jembe la mkono ni upotevu wa nguvu na muda. Tunahitaji vifaa vipya kwa ajili ya kuendeleza kilimo toka karne ilopita kuingia karne ya sasa. Kwa jembe la mkono Njaa haitaisha Afrika, ama mwenzangu unasemaje?

No comments: