Monday, 23 July 2007

Chini ya Mti wa Elimu Sudan

Sudani ya Kusini nako pia Madarasa chini ya mti ndio vituo vya elimu. Ukizingatia Utajiri wa nchi utokanao na mafuta, elimu chini ya mti ni sawa na usahaulifu wa viongozi wa nchi dhidi ya wananchi wake.

No comments: