Monday, 23 July 2007

Elimu ndio Mkombozi Wenu


Elimu ndio mkombozi wenu, Mwenye elimu hawezi kuwa mtumwa. Inasikitisha kuona viongozi wa bara la afrika wamesahau kuwa elimu ndio mkombozi toka kwa maadui ujinga, maradhi, umasikini na ukoloni wa mamboleo ama utawandawazi. Tunahitaji fikra mpya kwa ajili ya kuboresha miundo-mbinu ya utoaji elimu. Ni aibu kwa Marais wenye kuishi katika Makasri ya Kifalme wakati watoto kama hawa wakisoma kwa kivuli cha mti.

1 comment:

Anonymous said...

Elimu hii inaonesha Tanzania labda ilipata Uhuru jana 22/072007