Monday, 23 July 2007

Beki Asiyepitika South Africa


Beki wa Mabarhule High school akimdhibiti mshambuliaji wa Manyangana High School katika michezo ya Mashule. Ushindani wa michezo kati ya mashule ni changamoto tosha katika kuibua vipaji vya michezo mbalimbali ikiwemo riadha, uogeleaji, masumbwi na michezo mingi ambayo ingetoa ajira kwa vijana hawa katika maisha yao. Wengine wamezaliwa na vipaji lakini ukosefu wa uvunaji vipaji hivi hupotea na vijana hubaki mitaani wakikaba watu njiani.

No comments: