Monday, 23 July 2007

Usafiri Wa Mwanafunzi

Mwanafunzi akikabidhiwa usafiri tatizo nikwamba anaishi maili 13 toka shuleni. akifika shule yuko hoi akirudi nyumbani yuko hoi... atasoma saa ngapi? Hivi ule mradi wa mabasi ya wanafunzi uliishia wapi? maana watu walichanga pesa nyingi tu!

No comments: