Monday, 23 July 2007

Michezo na KaziWatoto kazi yao ni michezo kama inavyoonekana kwenye picha, majembe pembeni mpira kati, ndio kina ronaldinho wa kesho. Subiri mwalimu mnoko atokee hapo ni bakora kwenda mbele.

No comments: