Tuesday, 24 July 2007

Vitabu, Madaftari ama Mbao Zote Zana

Usishangae hivi ndivyo vitabu katika shule moja huko Sudan Ya Kusini, Kwa mwendo huu nadhani hatutafika maana tofauti ya mashule katika nchi moja ni kubwa kiasi cha kushindwa kuamini kuwa wenzao wa Khartoum hutumia makaratasi na penseli. Tuamke jamani Kama sisi ndio viongozi wa kesho, Tutaweza kweli kwa zana hizi? Changia Maoni Tafadhali

No comments: