Tuesday, 24 July 2007

Computer za Dola Mia Mia


Hizi ndizo computer za Dola Mia Mia, kama vile wapiga kampeni walivyotaka ziwe rahisi kununua, pia ziwe zinajitegemea kwa umeme wa jua. Japo wapo wengi wenye mtazamo tofauti na mpiga kampeni Mr Negroponte, akiwemo Bill Gates kwa kusema kuwa nchi hizo zinazolengwa kwa mradi zina matatizo mengi kama vile huduma za maji, afya, na mambo mengi yalio muhimu kuliko hizo laptop za miamia. Lakini Zikiletwa Kwetu Ni Mwendo wa Mdundo, Ila je walishapigia hesabu za matengenezo zikiharibika...

1 comment:

Anonymous said...

hmm! thafi thana!