Tuesday, 24 July 2007

Utabiri wa Hali Ya Hewa Chuo Kikuu

Kutakuwa na migomo ya hapa na pale maeneo ya Mlimani na Mvua za virungu rasharasha vya Fanya Fujo Uone(FFU) juu ya vichwa vya wasomi chuo kukuu mara baada ya chuo kufunguliwa. Kwasasa tufurahie mapumziko kwa kuandaa Mabango Mapya Kwa Kasi Mpya na Nguvu Mpya.

No comments: