Wednesday, 25 July 2007

Usawa Wa Watoto

Hawa watoto katika mpaka Kati ya Kenya na Sudan, Huko Serikali haijafika bado, watoto Hawa elimu yao ni kutokana na hadithi za mababu zao na miongozo ya wazazi wao, muda wote ni michezo hakuna shule rasmi(Formal Education). Wanaishi katika maeneo yenye utajiri mkubwa lakini Thamani ya kitu mpaka ipate Mtu anayeijua ndipo Kithaminiwe... Unakumbuka mababu zetu walivyokuwa wakibadilisha almasi kwa shanga... Basi huku bado zama zile zinaendelea.

No comments: