Wednesday, 25 July 2007

Historia Ya Kweli


Hebu Linganisha Mazingira yanayomzunguka, mavazi yake, na Bunduki aliyobeba.. Mpiganaji wa Zama za Kale Mwenye silaha ya Kisasa.. Swali hivi risasi wanazipata wapi na hizi bunduki mpya mpya.. Jawabu ni kwamba Hawa ni Matajiri wa Mifugo kuna wajanja wachache wenye kufaidika katika biashara haramu za silaha za maangamizi.

No comments: