Wednesday, 25 July 2007

Kampeni Ya Vitabu Kwa Wote Botswana

Nchini Botswana Kuna Kampeni ya Kuhakikisha Kila Nyumba inapata Angalau kitabu kimoja.. Kampeni kama hizi ndizo za kushikilia bango na si zile zisizokuwa na manufaa kwa jamii. Shime wazazi, Makaka, Madada tununue vitabu kwa ajili ya shule zetu, maana Vitabu vinavyotumika kwasasa kufundishia Masomo ya sayansi vimeshapitwa na wakati muda mrefu..Elimu inabadilika kila siku kwa hiyo pia tunatakiwa kuwa na vitabu vinavyokwenda na wakati.. sio kila siku Abbot wakati maelezo yake mengi yameshapitwa na wakati.. Ama naongopa..!

No comments: