Wednesday, 25 July 2007

Tutakaa Chonjo Mpaka Lini-Tungoje Mzungu

Hivi hatuwezi kukaa chini na kufikiri jinsi ya kuvuta maji na kuyapeleka mashambani, majumbani mpaka aje babu wa kizungu.. Huyo babu mwenye miwani ni volunteer toka Ulaya kwa ajili ya kusaidia uvutaji wa maji kwa ajili ya kumwagilia mashamba..Sisi Kazi yetu Mikono nyuma..Subiria msaada. Hivi zile topic za fluid mechanics haziwezi kuwekwa kivitendo tukaunda Pampu kwa kutumia malighafi tulizonazo?. Mpaka lini Tarzani aje kumkomboa mwafrika..nawaachia mjadili sio kuangalia tu.

No comments: