Wednesday, 25 July 2007

Books For Africa (BFA)-Misaada Ya Vitabu

Wanafunzi wa shule ya Mtopepo Zanzibar wakisikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Books For Africa(BFA) Ambapo Kontena zima la vitabu liligawiwa kwa shule hiyo ili wanafunzi wafaidike kutokana na vitabu hivyo vya msaada. Je ni wangapi wanajua hili na ni matokeo gani ya msaada huo yameonekana toka msaada ulipotolewa.. Jibu.. wanafunzi wamepata vitabu japo ni tofauti na walivyozoea na mipango zaidi imefanywa kutafsiri baadhi ya vitabu kwa lugha ya Kiswahili.. Haya ndio mambo endelevu na sio ushindani usio na maana.

No comments: