Wednesday, 25 July 2007

Tafsiri kwa Vitabu Vya Watoto

Book For Africa(BFA) walipotembelea Tanzania walianzisha mradi wa Kutafsiri vitabu vya watoto kama inavyoonekana kwenye picha, kwa hisani yao. Pia wakatoa misaada kupunguza gharama za uchapishaji wa vitabu hivyo, kama wewe mpenda elimu kwa watoto wote sio wako tu, waweza kununua japo vitabu kumi ukapeleka kwenye shule uipendayo ili vitumike kufundishia watoto.. Rais wa Marekani alisema hivi "DON'T ASK WHAT WILL THE COUNTRY DO FOR YOU, BUT WHAT CAN YOU DO FOR THE COUNTRY?". Kama unahoja leta...Maoni

No comments: