Wednesday, 25 July 2007

Kitendawili, Niko Darasani lakini....

Namuona Kila Apitaye Nje..Hii ni moja ya shule katika afrika Mashariki.. Tuko Darasani tunasoma...Sijui kama kweli elimu inayopatika hapa ina manufaa na sisi, kwasababu tuna wasomi, na Usomi kwa Definition yangu ni kwamba yule mwenye elimu ya kuona tatizo na akalipatia ufumbuzi kwa kutumia elimu yake na maarifa. Hivi kujenga ukuta huu unachukua muda gani na nguvu kiasi gani na vifaa gani.. nisaidieni. maana mambo mengine ni ya kuchekesha pasipotakiwa kucheka.

No comments: