Saturday 28 July 2007

hi ndio azania shule ya vichwa


huu ni upande wa mbele kidogo kama inavyoonekana lakini hali yake hairidhishi kutokana na kuwa mazingira yake machafu ila bado wanafunzi wake wanasongoka kinoma.iwapo kama yatarekebishwa itakuwa vizuri hata kwa wanafunzi toka shule nyingine watavutiwa na mazingira hayo.kuta za shule hii kama zitapigwa rangi itavutia sana

1 comment:

Anonymous said...

Wabunge na wanasiasa wanajineemesha wao binafsi, wanashindwa kuendeleza sehemu muhimu zinazotupatia Elimu.

Hii naona toka Enzi ya Ukoloni, ukarabati wa shule haupo..

Nini maana ya uongozi wa nchi, Lazima pawepo taratibu maalum za kuweza kuziendeleza shule zetu, katika pande nne ukarabati, ujenzi wa shule mpya tokana na uongezekaji wa wanafunzi, vitabu vya kusoma na la mwisho na la muhimu walimu wa kutosha..

By Mchangiaji
mmchangiaji@yahoo.com