Friday, 27 July 2007

Ukarabati Wa Paa la Shule

Mafundi wakikarabati moja ya majengo ya shule, sio siri kama shule ikiwa bomba hata buku nalo linapanda kinoma. ila tuwe wabunifu-endelevu (designers) sio kila siku jengo la shule liwe kama linavyoonekana pichani tuwe watundu katika ubunifu.

No comments: