Tuesday, 10 July 2007

Lunch Break hapa ni Mikasava kwenda MbeleHapa ni wakati wa mikasava kwenda mbele, lunch break kwenye vimbwete, tumebuni mikao mipya kwenye vimbwete....ni sayansi na teke linalokujia, ukichoka kukalia benchi unakaa kwenye meza..

No comments: