Tuesday, 10 July 2007

Jana Tulicheki NBA Leo Tizeee


Jamaa kaomba pasi lakini mwezake anataka kupiga three point shooter, Japo Azania Miundombinu ndio kama inavyoonekana lakini basketball limelala kama kawa.

No comments: