Thursday, 12 July 2007

Michezo Ukimaliza Kupiga Buku Muhimu

Hii ndio timu ya mtaani kwetu, tunapiga ball mithili ya wachezaji wa Real Madrid si basi tu kwasababu tuko bongo. lakini michezo muhimu ukimaliza kupiga buku michezo inachangamsha akili. Kama hesabu ikikushinda nenda kapige ball ukimaliza utaona jinsi utakavyoisolve kama Einstein vile.

No comments: