Sunday, 15 July 2007

Kupima UKIMWI Muhimu


Viongozi wetu washatoa mfano, lakini kupima ukimwi sio jambo la siku moja tu, inabidi watu wawe na mazoea ya kupima kila mwezi ikiwezekana kwasababu UKIMWI huambukizwa kwa njia nyingi sio ngono peke yake, kuna nyembe, sindano, ajali barabarani na njia nyengine nyingi ambazo hazijatiliwa mkazo...na status ya wewe kuwa huna UKIMWI ni kabla ya kupata majibu ya vipimo, inaweza kubadilika wakati wowote... Tuwe waangalifu na Kuomba Mola Atuepushe na Janga Hili La UKIMWI.

No comments: