Sunday, 15 July 2007

Masista Zetu Nao Wamo Kwenye Buku


Hawa ndio viongozi wetu wa leo mashuleni kesho serikalini na pia ni wataalamu maofisini, madaktari na manesi hospitalini...Wazazi toeni fursa sawa katika elimu msibague kati ya wavulana na wasichana.

No comments: