Tuesday, 24 July 2007

Vita ya Rushwa Ianzie Shuleni


Hawa ni wanafunzi nchini Uganda wakishikilia bango kupinga Rushwa, rushwa ni sawa na ugonjwa wa kansa katika mwili wa maendeleo ya nchi. Rushwa zinaumiza wananchi huathiri pia wanafunzi, wafanyabiashara, watafutao huduma, waajiriwa na wananchi wote kwa ujumla.Somo la Taathira za Rushwa lianzishwe na kupewa kipaumbele ili toka mapema tuichukie rushwa kwani ndie adui mkubwa wa maendeleo.

No comments: