Tuesday, 24 July 2007

Huku Kuna Vimbwete Kule Kuna Vituta

Sio siri hii ni evolution in progress maana nimeona watoto wakikaa chini ya mti, lakini hapa pameendelea zaidi kwa kuweka vituta ili iwe rahisi kukaa na kuandika japo bado darasa lenyewe ni chini ya mti wa elimu. nadhani hatua inayofuata ni kuwapa watoto fursa wakatengeza viti vya udongo. Kwani elimu ni kusoma na Kuandika tu? hata Ufinyanzi nayo ni elimu...

No comments: