Thursday, 26 July 2007

Msaada Wa Solar Power Songea


Shule ya Luhimba Mjini Songea walipokea msaada wa vifaa vya kuzalisha umeme kwa nguvu ya Jua (Solar Power) toka kwa shirika la misaada la Rotary Group, umeme huo umewezesha kuvutia maji toka kwenye kisima kwa ajili ya matumizi ya shule na kijiji kilichopo jirani. Umeme wa jua ni gharama kununua vifaa lakini ni rahisi katika gharama za matunzo na pia mazingira.

No comments: