Thursday, 26 July 2007

Skuli Ya Chukwani


Shule ya Chukwani Zanzibar, ni moja ya shule maarufu huko visiwani. Elimu itolewayo visiwani hufuata mitaala iliyoandaliwa rasmi kwa ajili ya visiwa hivyo, hutumia vitabu vya awali tofauti na vinavyotumika Bara. tembelea uone jinsi masomo hayo yanavyowaandaa wanafunzi kukabiliana na maisha yao ya kila siku.

No comments: