Thursday, 26 July 2007

Ufungaji wa Solar Power

Hawa wataalamu wa kufunga vifaa vya umeme utokanao na nguvu ya jua(Solar Power), wakifunga vifaa hivyo juu ya paa la shule ya Luhimba mjini Songea. Kama vifaa hivi vitatunzwa umeme wa gharama nafuu tena usio na madhara kwa mazingira utaweza kutumiwa kwa muda mrefu ujao. Ni jawabu tosha kwa maeneo ambapo umeme wa nyaya ni ngumu kufika ama kupatikana.

No comments: