Monday 23 July 2007

Umeme Wa Jua (Solar Power)


Mtaalamu wa Umeme Utokanao na nguvu ya Jua akisimamia wanafunzi wanaounda mashine itakayozalisha umeme wa jua kwa ajili ya kuchemsha maji Nchini Uganda. Kwao ilikuwa rahisi kuunda ili mradi vifaa na utaalamu uwepo. Afrika tumebarikiwa Jua tukilitumia vizuri basi tutaweza kufanya mambo mengi yatakayotokomeza njaa, maradhi, na umasikini.

1 comment:

Anonymous said...

Mini napendekeza, mfanye kazi ya kutengeneza umeme unaoweza kuzalishwa kwa kutumia UPEPO.

Kwanini nasema hivi, najaribu kupiga picha na kufikiri kuhusu umeme wa gari unavyozalishwa na kuongezewa nguvu katika battery yake na kifaa kinachoitwa alternator.

Sasa mimi natafuta mtu atakayeweza kunitengenezezea mechanism, ya alternator kuzungushwa na upepo na wakati huohuo iwe inajaza batteries zangu kwa ajili ya umeme wa nyumbani tu.

nafahamu kuna baadhi ya vyombo vinahitajika lakini sivifahamu majina. Nyie ni wataalamu nina imani mtanijulisha vizuri.